Revierderby mechi ya soka nchini Ujerumani inazozikutanisha timu mbili mahasimu wa eneo la Rhur Kaskazini mwa Rhine Westphalia Ujerumani,Borussia Dortmund VS Schalke 04.Ni jina la sehemu hizi timu mbili zinapopatikana.
Mashabiki wa FC Schalke 04 nyumbani katika dimba la Veltins-Arena katika mji wa Gelsenkirchen
Mashabiki wa dortmund katika dimba la signal iduna park huko westfalenstadion
Revierderby
("Derby of the Area"; Revier
ni jina la kihistoria ambalo hupewa mechi yoyote inazozikutanisha timu hizi za eneo la rhur,North Rhine Westfalia Ujerumani.Bila kutumia maneno mengi Revierderby ni mechi kati ya
Borussia Dortmund na Schalke, wakati mechi kati ya timu nyingine mbili za eneo la Rhur mara nyingi huitwa Revierderby Kleines
("Small Derby of the Area").
Historia na Matokeo Schalke inaongoza kwa kushinda mara 50 sare 33 na wamepoteza 44.
Historia
Uhasimu wao ulianza kwa Schalke kuibuka na ushindi wa 4-2 mei 3,1925.Aina ya mchezo wa schalke ulielezewa na magazeti ya ujerumani kama
"mpira Mabedui kutoka mtu kwa mtu"katika mfululizo wa psi fupi na za chini.Hapo ndipo . Kreisel Schalker "Schalke inazunguka juu" alizaliwa.. Schalke ilishinda mechi zote tatu walizocheza katika miaka mitatu mfululizo1925-1927.Timu hizi mbili hazikukutana tena hadi ligi ya juu kabisa ya wakati huo nchini ujerumani ilipoanzishwa 1936.
MATOKEO YAO TOKA 1925-27
3 Mei 1925: Schalke 4-2 Dortmund (katika Herne)
Oktoba 24, 1926: Schalke 2-0 Dortmund
Januari 16, 1927: Dortmund 2-7 Schalke
1936-1944 (Zama za Gauliga)Schalke walishinda 14,sare 1 na kupoteza moja
HistoriaBaada ya kuundwa kwa Gauliga mawaka1936, Dortmund walidumisha upinzani zaidi ya awali,kwa sababu schalke ndiyo timu iliyokuwa na mafaniko kuliko timu yoyote nchini ujerumani,kwa kushinda vikombe vinne vya German championships na moja la German cup,Schalke walikuwa wababe wa dortmund kwa muda mrefu na kushinda mara 14,sare 1 na kupoteza moja,Novemba 14,1943 August Lenz ndiye aliyeipa dortmund ushindi wa kwanza dhidi ya schalke
1945-1947 (Baada ya vita kuu ya pili)Dortmund: walishinda 1,sare 0 na sare 0
Dortmund walichukua ubingwa awa westphalia kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya schalke,na kumaliza utawala wa schalke wa miaka takribani 24.
Matokeo
Mei 18, 1947: Dortmund 03:02 Schalke (katika Herne)
1947-1963 (Oberliga Era)''upper league''Dortmund kushinda 15,sare 10 na kufungwa 7Miaka ya 1947-63 iliendelea kuwa ya mabadiliko kwa Dortmund kwa kushinda 9 kati ya mechi 13 za Revierderbies kwa hicho kipindi na kufungwa michezo 7 kati ya 32 waliyocheza.Dortmund walishinda vikombe vitatu vya Oberliga.
1963-2012 (Bundesliga na Kombe la Ujerumani)Dortmund: 27 wins, 21sare,kufungwa 25HistoriaKuanzishwa kwa Bundesliga mnamo mwaka 1963 ilianza na Dortmund kuendeleza wimbi lao la ushindi,baada ya kushinda mechi 8 kati ya 10.
Schalke ilishinda 1-0 mnamo ya Aprili 20, 1968,na huu ukawa mwanzo wa ubabe wa schalke kurudia tena hasa pale dortmund walipolala tena 3-0 mwaka 1972 March 4.na baadaye kushuka daraja na timu hazikukutana tena mpaka 1975.
Baada ya Dortmund kurudi kwenye ligi,goli la LOTHAR HUBER dakika ya 87,november 1977 liliwapa dortmund ushindi wa kwanza baada ya takribani miaka 10.Miaka iliyofuatia ilikuwa ni ya dortmund wakishinda 11 kwa 6 ya schalke,huku wakiwa mabingwa wa German cup,December 6,1988,ikifuatiwa na schalke kushuka daraja hadi walipokutana tena msimu wa 1991/2
Schalke walirudi kwa maajabu baada ya kuifunga schalke 5-2 mnamo August 24,1991,na pia kushinda tena mechi iliyofuata kwa 2-0,na kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi.
Miaka iliyofuata scalke ilikuwa mbele ya dortmund kwa tofauti ndogo kwa kushinda mechi 11,sare 14 na kupoteza 8.Ukiacha mafanikio ya schalke kufungwa mechi 5 tu toka mwaka 1999 hadi April 2012.Dortmund anaongoza kwa mafanikio kiujumla kwa kipindi hichi kwa kushinda Bundesliga mara 5 (1994-95, 1995-96, 2001-02, 2010-11 and 2011-12),kombe la ujerumani 1,(2012).klabu bingwa barani ulaya(1997) na kombe la mabara la vilabu(1997) wakati schalke walishinda kombe la uefa (1997) na kombe la ujerumani mara 3, (2001, 2002 and 2011).
Mwaka 2008 mashabiki wa Borussia dortmund walichukua hatua ya kuuza mashati yaliyopambwa kuadhimisha miaka 50 ya schalke bila ubingwa wa ligi kuu.
No comments:
Post a Comment