Monday, January 13, 2014
Tuesday, October 2, 2012
NAONA KILA DALILI YA KOCHA WA UINGEREZA ROY HODGSON KUAMKIA NYUMBANI KWA SCHOLES ALFAJIRI NA KUMUOMBA WATOKE KUPATA CHAI KATIKA MGAHAWA MMOJA WA JIJI LA MANCHESTER....................................
Lakini kuna mtu mmoja ambaye najiuliza ataenda falme za kiarabu lini au marekani ambapo Thierry Henry ana miaka 35 yuko marekani lakini anaonekana lulu katika ligi hiyo huku utaalamu wake umepungua kwa kiasi kikubwa,na mtu huyo ni fundi kupindukia wa mipira mirefu si mwingine ni mzaliwa wa mji wa SALFORD,GREATER MANCHESTER mwaka 1974,kaskazini magharibi mwa uingereza ''PAUL STEWART SCHOLES(37),mwanasoka aliyezaliwa katika hospitali ya''hope hospital'' ikimaanisha hospitali ya tumaini na kama ambavyo uwezo wake unakupa tumaini la kumwamini uwanjani pamoja na umri kumtupa mkono na si uwezo wake.
Kilichonishawishi kuandika nakala ni jumamosi ya tarehe 29 Septemba 2012,majira ya saa moja usiku nikiwa katikati ya jiji la dar es salaam pale mtaa wa samora ndani ya ukumbi unaoitwa''city sports lounge''nikiangalia mechi iliyovunja mwiko wa Tottenham hotspurs kutoshinda ndani ya uwanja wa old trafford tokea miaka 23 iliyopita,kuna mtu mmoja alinifanya muda wote kuamini kwamba ule mwiko hautovunjika,ni huyu paul scholes.
Alilitawala dimba vya kutosha kwa pasi fupi fupi na ndefu,hasa kipindi cha pili cha mchezo ambapo karibia kila pasi yake ilifika kwa mlengwa na kufanya old trafford kuzizima kwa makelele kila paul scholes akifanya vitu vyake,mimi na watu wengine tunashangaa tu uwezo wake tunaujadili mwisho tunaenda kupumzika majumbani kwetu.
Lakini kuna mtu ambaye afanyi hivyo anabaki kutafuta njia ya kumfanya mtu huyu amsaidie tena au anatamani mtu huyu atangaze kurudi katika soka la kimataifa hata kama hatocheza mwanzo hadi mwisho wa mchezo lakini uwepo wake katika timu ni wa muhimu sana hasa pale timu ikihitaji kukamilisha kitu flani katika wakati flani,iwe kuituliza timu baada ya kushinda kwa kumiliki mpira au kuitafutia timu ushindi kutokea katakati ya uwanja,nina kila sababu ya kusema kwamba alitakiwa kuwepo pale heatthrow,airport ya london wakati timu ikijiandaa kwenda poland na ukraine kwa ajili ya euro 2012.Huyu si mwingine bali ni kocha wa uingereza Roy Hodgson,ndio sitoshangaa siku nikiamka na kufungua tovuti ya the sun gazeti moja maarufu kule uingereza na kukuta habari kwamba''Hodgson akutwa kwenye mgahawa jijini manchester na paul scholes'',katika kizazi cha sasa cha uingereza kinachoanza na kuisha wana watu wachache ambao wanacheza mpira kwa kipaji na sio kufundishwa darasani ambao hata kupiga pasi wanataka wapige jinsi walivyofundishwa hata kama mazingira hayaruhusu,ni wachache sana kama jack wilshere.Utakapotaka timu ikae na mpira katikati basi utamuhitaji paul scholes,utakapotaka pasi ndefu za haraka utamuhitaji kiungo huyu mtukuka'' xavi hernandez aliwahi kusema hyu ni kiunga bora wa miaka 15-20,ana pasi nzuri,maono,hapotezi mipira,anavutia na kama angekuwa hispania angethaminiwa zaidi''''ila kuna kitu kimoja ambacho kinamfutia mtu huyu utakatifu wake wa soka ni faulo dhidi ya wapinzani ana rafu za hatari na za kutisha na hivyo kuwa na jumla ya kadi za njano 90 katika ligi kuu na nyekundu 4 na kadi za njano 32 katika ligi ya mabingwa na kushikilia rekodi ya kadi nyingi katika ligi ya mabingwa na nafasi ya tatu ligi kuu.
Miaka 37 bado anatawala dimba na kuwashinda wakina sandro ambao wakati yeye anacheza mpira wao ndo wanazaliwa na ndio maana sitoshtushwa ntakapomsikia mtangazaji wa kituo cha skysports''Chris kamara'' akitangaza kuwa paul scholes ni mmoja wa wachezaji watakaokuwa heathrow kuelekea katika uwanja wa ndege wa rio de janeiro nchini brazil kwenye kombe la dunia 2014,atakuwa na miaka 40 kasoro ila ninaamini anaweza akacheza hata uwepo wake kwenye benchi ni morali tosha kwa wachezaji
TATIZO NI NINI KLABU YA YANGA.....MWAKA MMOJA NA NUSU MAKOCHA WANNE TOFAUTI...............
| Jina Kamili | Young Africans Sports Club | ||
|---|---|---|---|
| Jina la utani | Yanga | ||
| Kuanzishwa | 1935 | ||
| Kocha; Ernest Brandts | (ujerumani) | ||
Kwa hiyo ndani ya mwaka makocha tofauti wanne wamekalia kiti cha ukocha katika klabu hiyo jambo ambalo kiufundi si sahihi hasa katika nchi ambayo inashika nafasi zaidi ya 100 katika viwango vya soka duniani.
Kwasababu sidhani kama kuna sababu ya msingi iliyotolewa na viongozi wakati hawa walimu walipokuwa wanatimuliwa,utasikia kuna wachezaji hawapendwi,mara katoa siri za ndani ambazo hazitakiwi kutolewa ,kamtukana kiongozi mmoja wa juu wa klabu,sababu ambazo ukikaa chini kufukiria haziingii akilini bali ni siasa ambazo zimewajaa viongozi na wale wanaojiita wazee wa timu na wale ambao husema '''sisi ndo wenye yanga na wenye uchungu nayo wakati,kadi zao za uanachama hata kulipia hawajalipia na hao ndo wananunua jezi ambazo timu haifaidiki sasa je uchungu na timu upo wapi,kwa nini huyu mshabiki mwenye uchungu asikatae kutumia kitu chenye nembo ya klabu ambacho klabu haifaidiki,ila ukija kwenye mambo kama haya ndo uchungu unakuja,bora aongee mshabiki wa ''SOFAPAKA''klabu ya majirani zetu kenya ambapo mashabiki wamenunua basi la mamilioni kwa pesa zao mfukoni,shabiki wa hii klabu akisema ana uchungu ntaelewa.
Najua kuna watu flani ndugu zangu wanazi wa yanga hasa wa pale katikati ya jiji''samora avenue''watapinga kuhusu hii nakala lakini ni ukweli lazima waulizane na kuhoji makocha wanne ndani ya mwaka inamaanisha nini katika maendeleo ya timu,mwisho wake watatoa mfano wa klabu ya chelsea nchini uingereza lakini.wale wapo katika hatua ya mbali ya soka ambapo kocha asumbuki kumfundisha mtu kuishi kiprofesheno na kuanza kumfundisha kocha alipoishia ,lakini hapa kwetu kocha akija mwingine hatoendelea alipoishia kwasababu wapi kuna ''database'' ya mipango ya mwalimu aliyeondoka,jibu halipo.hapo ndipo utakubaliana na ukweli ninaoandika,umefika wakati wa klabu zetu hapa nchini kubadilika na kuendesha timu kiufundi,na kujiuliza kunani?
Kumekucha ligi ya mabingwa barani ulaya.....viwanja 8 kuwaka moto...............
| Muda | Home | Away | Kundi | Uwanaja | |
| 09:45 EAT | FC Nordsjælland | v | Chelsea | Group E | Farum Park |
| 09:45 EAT | Juventus | v | Shakhtar Donetsk | Group E | Juventus Stadium |
| 09:45 EAT | BATE Borisov | v | Bayern Munich | Group F | Dynamo Stadium, Minsk |
| 09:45 EAT | Valencia | v | Lille | Group F | Estadio Mestalla |
| 07:00 EAT | Spartak Moscow | v | Celtic | Group G | Luzhniki Stadium |
| 09:45 EAT | Benfica | v | Barcelona | Group G | Estadio da Luz |
| 09:45 EAT | CFR Cluj-Napoca | v | Manchester United | Group H | Stadionul Dr. Constantin Radulescu |
| 09:45 EAT | Galatasaray | v | Braga | Group H | Türk Telekom Arena |
Friday, September 28, 2012
ITS THE LONDON DERBY AGAIN,ARSENAL VS CHELSEA LOCK HORNS AGAIN AT EMIRATES STADIUM TOMORROW.............LETS DIG INTO THEIR RIVARLY.......
Arsenal F.C.–Chelsea F.C. rivalry
Background
While they never considered each other primary rivals, as two of the top clubs in London there has always been strong needle between the fans dating back to the 1930s. Matches between them would often attract large attendances. The Arsenal and Chelsea rivalry has been more recently considered an important derby, after Chelsea's rise to the top class of the Premier League in 2000s, when the two started to compete constantly for the English championship. According to an internet survey of fans in December 2003, the Arsenal fans who responded to the survey said that they considered Chelsea as their third rival, after Manchester United and Tottenham Hotspur.[1] Those Chelsea fans who responded to the survey said that they considered Arsenal as their main rival, however Tottenham and Fulham are their more traditional rivals.[1] In a 2009 survey by the Football Fans Census, Arsenal fans named Chelsea as the club they disliked the most, ahead of their traditional rivals Tottenham. Chelsea fans named Arsenal as their second most-disliked club, behind Liverpool.[2]History
The first league meeting between the two teams took place on November 9, 1907 at Stamford Bridge. This was the first Football League First Division game played between two London clubs and drew a then First Division record crowd of 65,000. A match between the clubs at Stamford Bridge in 1935 drew a crowd of 82,905, the second highest recorded attendance for an English league match. They met in two close contested FA Cup semi-finals in the 1950s, with Arsenal winning both times. In the 1960s Chelsea dominated the tie with 14 wins, two draws and just 2 losses during the decade.[3]More recently the clubs have contested two major finals, the 2002 FA Cup Final, which Arsenal won 2–0, and the 2007 Football League Cup Final, which Chelsea won 2–1. The two teams have also met in the UEFA Champions League in the quarter-finals in 2003–04 drawing 1–1 at Stamford Bridge, and Chelsea winning 2–1 at Highbury to go through to the semi-finals.
In 2006 the transfer of Ashley Cole from Arsenal to Chelsea further stoked the rivalry, as Cole had been caught meeting Chelsea officials months before.[4]
The 2007 Carling Cup final was one of the most noted incidents. The game was marred by a fracas involving Frank Lampard, Cesc FÃ bregas and others that resulted in yellow cards for the two and three other players sent off, the supposed wrongful dismissal of Emmanuel Adebayor and incidents of Chelsea fans throwing celery at Arsenal players. This led the media to dub it the "Snarling Cup final".
On December 27, 2010, Chelsea came into the Emirates having beaten Arsenal 5 times in a row by a goal differencial of 13–2. Arsenal were victorious upon the final whistle however by a score of 3–1.
On 29 October 2011, another thrilling and fantastic game was played at Stamford Bridge. Arsenal won 5–3 with Robin Van Persie scoring a hat-trick and André Santos and Theo Walcott scoring one goal each. Frank Lampard, John Terry and Juan Mata scored the goals for Chelsea[5]
Overall, Arsenal have won the more games in history, having won 70 times to Chelsea's 54, with 52 draws (as of 21 April 2012).[6] Arsenal's record win was a 5–1 victory in a First Division match at Stamford Bridge on November 29, 1930. Chelsea's record win was a 5–0 victory at Highbury in the League Cup on November 11, 1998.
Former Chelsea Striker Didier Drogba holds the mark for the most derby goals with 13.
Tuesday, September 25, 2012
Chelsea yatoa kipigo cha mbwa mwizi kwa wolves............
Chelsea imeingia duru la nne la kombe la ligi kwa kishindo kwa kuishindilia wolves magoli 6-0,katika dimba la stamford bridge,magoli ya romeu,ryan bertrand,juan mata,torres,cahill na goli la kwanza la victor mosses tangu avae uzi wa ''the blues''
yalitosha kuwapa matajiri wa london ushindi mnono.
Asto Villa yazima ndoto za majirani wa man united na kufuzu duru la nne la kombe la ligi................
.
Aston Villa imeushtua ulimwengu katika kile kisichotegemewa na wengi kwa kuichapa man city 4-2 baada ya muda wa ziada,na kufuzu duru la nne la capital one cup,na isitoshe katika uwanja wao wa etihad.
Villa ilibidi watoke nyuma mara mbili kabala ya gabriel agbonlahor na Charles N'Zogbia kuipa ushindi villa baada ya muda wa ziada.
City walikuwa wa kwanza kuongoza kupitia Mtukutu Balloteli baada ya kazi nzuri ya James Milner,lakini goli la kujifunga la Barry liliwafanya wawiane.
Shuti la umbali la wa yadi 20 la Kolarov liliwapa city ahueni kabla ya Agbonlahor kuisawazishia dakika tano baada ya city kuongoza,na mechi kuendelea katika muda wa ziada ambapo Agbonlahor na N'zogbia waliizamisha city.
Mancini aliweka nyuso mpya kumi kasoro lescott aliyeingia baada ya Jack Rodwell kuumia wakati wa kupasha misuli.
Monday, September 24, 2012
Real Madrid yarudisha imani kwa mashabiki katika dimba la '''vallecas teresa rivero'''
Rayo Vallecano 0-2 Real Madrid:
Mabingwa watetezi wa la liga jana wameweza kurudisha imani kwa mashabiki wao ya kuwa wanaweza kutetea ubingwa wao baada ya kupata ushindi walioupigania kwa nguvu mno katika dimba la Estadio del Rayo Vallecano (de Vallecas Teresa Rivero) —jijini madrid.Karim Benzema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuzifumania nyavu za wapinzani katika dakika ya13 baada ya kuunganisha pasi murua ya Angel di Maria.Iliwachukua hadi dakika ya 70i Real Madrid kupata golila pili baada ya beki wa kati wa rayo vallecano Jordi Amat kuunawa mpira kabla ya Cristiano Ronaldo kuukwamisha mpira wavuni.The winners and losers of the summer transfer window
For the major European leagues, there won't be any more transfers until January, so coaches are stuck with their lots - for better or worse.
By Leander Schaerlaeckens
For your arguing pleasure, we break down its biggest winners and losers:
Tottenham Hotspur
As new manager Andre Villas-Boas sets about making amends for his failure at Chelsea, his tenure at Spurs has gotten off a strong start with a highly successful transfer window. Though the club ultimately lost its long-running battle to hold onto Luka Modric when he left for Real Madrid in a $52 million move, it invested the money deftly. AVB spun the Modric money and that made off the sales of Vedran Corluka, Niko Krancjar, Steven Pienaar and Rafael van der Vaart, all of whom commanded good fees, into the acquisition of playmakers Gylfi Sigurdsson and Moussa Dembélé, defender Jan Vertonghen and striker Emmanuel Adebayor, whose loan was made permanent. And with time ticking down on the transfer window, Spurs snapped up underrated France goalkeeper Hugo Lloris and Fulham’s U.S. forward Clint Dempsey. On balance, Spurs is a much strengthened side while somehow achieving a small surplus in their transfer balance for this window.
Manchester United
In spite of much empirical evidence to the contrary, Paul Scholes can’t play forever. In buying Shinji Kagawa off Borussia Dortmund, United has finally addressed his succession as its playmaking midfielder, since it’s obvious by this point that Anderson isn’t the answer and Tom Cleverley has maturing to do. At a $27 million transfer fee, the Red Devils got good value for money. And for that one move alone, United is a transfer winner. But it managed to snag one Robin van Persie from Arsenal too, instantly turning a strong crop of forwards into a legendary one. Even better news? United unloaded Dimitar Berbatov – the man who can only score in fives – on Fulham.
Chelsea
Roberto Di Matteo is hell-bent on abandoning the defense-first tactics that won him last year’s Champions League and play the more imaginative style he prefers. To that effect, Eden Hazard and Oscar were brought in for a reported $50 million and $40 million, respectively, to help Juan Mata distribute the ball and ignite the offense. But what makes Chelsea’s transfer window a real success is the pickups of wingers Marko Marin and Victor Moses and right back Cesar Azpilicueta for a combined $36 million.
Queens Park Rangers
In a string of savvy pickups, QPR nabbed Junior Hoilett, Ryan Nelsen, Andy Johnson, Robert Green, Jose Bosingwa and Julio Cesar on free transfers. It loaned Fabio from United and signed Samba Diakite, Ji-Sung Park and Stephane M’Bia – all three of whom are candidates for Steal of the Year. And it lost nobody more noteworthy than Paddy Kenny, who was obsolete following the arrival of Green and Cesar.
Inter Milan
Under pressure to cut costs, Inter managed to dump some of its biggest earners in Lucio, Diego Forlan and Cesar on free transfers. Then it flipped Giampaolo Pazzini to AC Milan in a trade that bagged Antonio Cassano and, somehow, an extra $9 million. It got good fees for Luc Castaignos and Goran Pandev and managed to pick up Rodrigo Palacio, Walter Gargano, Alvaro Pereira, Freddy Guarin, Samir Handanovic and Gaby Mudingayi, all well-above average Serie A players. Now, with long-overdue renewal out of the way, Andrea Stramaccioni has something to work with.
Paris Saint-Germain
Continuing its oil-infused spending spree, PSG happily splashed a jaw-dropping $187.5 million on Thiago Silva, Zlatan Ibrahimovic, Ezequiel Lavezzi, Marco Verratti and Lucas Moura. Need much more be said? Word is the Parisians will sign Ajax right back Gregory van der Wiel before the French transfer window shuts early next week, too.
Swansea City
When Liverpool and Manchester City came lusting after Joe Allen and Scott Sinclair, two of last season’s sensations on a sensational Swansea’s sensation debut season, new manager Michael Laudrup wisely sold high and used the money to reinvest it in Pablo Hernandez, Sung-Yong Ki, Michu, Chico and Jonathan de Guzman, buttressing his side while turning a profit in the process.
Losers
Arsenal
The Gunners’ transfer window, for once, started off swimmingly, quickly picking up forwards Olivier Giroud, Lukas Podolski and midfielder Santi Cazorla for very reasonable total of $54 million in fees. And then van Persie left for Arsenal and Alex Song was sold to Barcelona, meaning that, once again, Arsenal will start the season off significantly weaker than it ended the last one.
Fulham
Midfielder Hugo Rodallega, striker Mladen Petric and midfielder Sascha Riether were all very nice free transfer pickups. But that about evened out with the end-of-contract departures of Andy Johnson, Danny Murphy and Pavel Pogrebnyak. But the subsequent sale of Dembélé and Dempsey robs Fulham of the two most decisive players in an offense that made them fun to watch last season. Berbatov, Fulham’s deadline pickup, is only a small consolation.
AC Milan
In a similar predicament as Inter, cross-town rival Milan had to downsize and rejuvenate its squad. Sulley Muntari, Riccardo Montolivo and Bojan Krkic are nice pickups – the former two free and the latter on loan. Pazzini is a nice signing, although not worth giving up Cassano and a surcharge. But all this is undone by the loss of Silva and Ibrahimovic. What’s more, with the retirement or departure of iconic veterans such as Alessandro Nesta, Pippo Inzaghi, Mark van Bommel, Clarence Seedorf, Gianluca Zambrotta and Gennaro Gattuso, Milan might face an identity crisis as it rebuilds.
INTERNATIONAL CAREER FOR JOHN TERRY ENDS..............................AMID RACISM CASE. HEARING TODAY.....................
Terry retires from England amid racism case
September 24, 2012 --
Chelsea defender John Terry has retired from international football with England.
Chelsea defender John Terry has retired from international football with England.
STORY HIGHLIGHTS
John Terry retires from international football
Chelsea defender won 78 caps for England
Decision comes on the eve of scheduled FA hearing
Terry: "My position with national team untenable"
Former England captain John Terry has announced his retirement from international football with immediate effect.
The Chelsea defender, who won 78-caps for his country, was scheduled to attend an FA hearing on Monday for allegedly racially abusing QPR's Anton Ferdinand.
Terry was cleared of the allegations by a London court in July.
Terry, who lost the armband on two separate occasions for off-field incidents, says the FA has made his "position with the national team untenable".
John Terry cleared of racial abuse
Chelsea parade Champions League trophy Chelsea parade Champions League trophy
Bayern vs. Chelsea: Final figures Bayern vs. Chelsea: Final figures
And the 31-year-old has now confirmed he will be unavailable to represent England in their quest to qualify for the 2014 World Cup in Brazil.
In a statement, he said: "I am today announcing my retirement from international football. I would like to thank the England managers who have selected me for my 78 caps.
"I have had great pleasure in sharing that honor with all the players that I've played with. I would like to thank them, the fans and my family for their support and encouragement during my international career.
"Representing and captaining my country is what I dreamed of as a boy and it has been a truly great honor. I have always given my all and it breaks my heart to make this decision.
"I want to wish Roy Hodgson and the team every success for the future.
"I am making this statement today in advance of the hearing of the FA disciplinary charge because I feel the FA, in pursuing charges against me where I have already been cleared in a court of law, have made my position with the national team untenable.
"I now look forward to playing for Chelsea FC, and challenging for domestic and European honors, and I want to thank the fans and the club for their continued support."
Terry made his England debut in 2003 against Serbia and Montenegro and was made permanent captain in 2008.
But his tenure as captain came to an ignominious end in February 2010 after he was revealed as the sportsman behind a gagging injunction involving his private life.
A court order had previously been in place, covering an alleged relationship between married Terry and French model Vanessa Perroncel -- a former partner of teammate Wayne Bridge.
Terry was restored as captain by Fabio Capello on March 19 2011 before losing the armband once again following the alleged incident with Ferdinand during Chelsea's game at Queens Park Rangers last October.
Terry's final game for England was earlier this month when he played in the 5-0 win over Moldova in Chisinau.
Friday, September 21, 2012
WILSHERE BACK IN FULL TRAINING WILL HE REGAIN HIS PREVIOUS FORM..............?..................ONLY TIME WILL TELL.
At last! Wilshere returns to full Arsenal training after 14 months on sidelines
Arsenal midfielder Jack Wilshere has handed Arsene Wenger a massive boost by joining his team-mates for training.
The 20-year-old has been plagued by ankle, foot and knee problems and has not played since July 2011.
But, as revealed by Sportsmail earlier this week, the England player has now stepped up his recovery by taking a full part in training.
All smiles: Jack Wilshere (centre) joins Theo Walcott and Alex Oxlade-Chamberlain for Arsenal
Wilshere's agent tweeted: 'Delighted to say that Jack Wilshere was back in full 1st team training today.
'Understandably he is a very excited young man today.'
Wenger told the official Arsenal website: 'We are so pleased that Jack is back in full training. It’s been 14 months and that’s a long time for someone at his age. It’s an eternity, but it’s great news.
'We have to give him a few training sessions to see how he copes and responds to it. That’s the delicate, sensitive stage - to choose when to bring him in and out. We’ll have to handle that day-by-day.
'We also have Emmanuel Frimpong who has returned to full training this week, which is great news as well. Emmanuel has also been out a long time, but is progressing well.'
Wenger could now play Wilshere in either a specially arranged, training ground friendly or the Gunners Under 21 side's fixture against West Bromwich on October 1 or Reading seven days later as the club look to give him much-needed game time.
On the ball: Wilshere has been sidelined since July 2011 with a serious of injuries
Despite Wilshere's promising progress, his manager will continue to take a cautious approach towards the return of his influential midfielder.
The youngster has been pencilled in for a return to first-team action towards the end of next month and the club seem determined to resist any temptation to rush Wilshere back before then.
Even though Alex Song left for Barcelona, Wenger still has an abundance of central-midfield options with Santi Cazorla, Mikel Arteta, Abou Diaby, Aaron Ramsey and Francis Coquelin all vying for first-team starts.
Tired already? Wilshere will be eased back into the Arsenal team gently after his injuries
The club's once lengthy injury list is now starting to clear up, with Tomas Rosicky, Emmanuel Frimpong and Bacary Sagna – in addition to Wilshere – all close to first-team returns.
Frimpong, who has been sidelined since February with a cruciate ligament injury sustained while on loan to Wolves, has also returned to training.
Back in the game: Emmanuel Frimpong (left) also returned to training after a cruciate ligament injury
Subscribe to:
Posts (Atom)
